Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 5:5-6

Lk 5:5-6 SUV

Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika

Soma Lk 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 5:5-6