Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 4:2-4

Lk 4:2-4 SUV

akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa. Ibilisi akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate. Yesu akamjibu, Imeandikwa ya kwamba mtu hataishi kwa mkate tu.

Soma Lk 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 4:2-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha