Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 22:25-27

Lk 22:25-27 SUV

Akawaambia, Wafalme wa Mataifa huwatawala, na wenye mamlaka juu yao huitwa Wenye fadhili; lakini kwenu ninyi sivyo; bali aliye mkubwa kwenu na awe kama aliye mdogo; na mwenye kuongoza kama yule atumikaye. Maana aliye mkubwa ni yupi? Yeye aketiye chakulani, au yule atumikaye? Siye yule aketiye chakulani? Lakini mimi kati yenu ni kama atumikaye.

Soma Lk 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 22:25-27