Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 21:25-26

Lk 21:25-26 SUV

Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi dhiki ya mataifa wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.

Soma Lk 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 21:25-26