Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 20:46-47

Lk 20:46-47 SUV

Jilindeni na waandishi, wapendao kutembea wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa masokoni, na kuketi mbele katika masinagogi, na viti vya mbele karamuni. Wanakula nyumba za wajane, na kwa unafiki husali sala ndefu. Hao watapata hukumu iliyo kuu.

Soma Lk 20