Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 2:28-32

Lk 2:28-32 SUV

yeye mwenyewe alimpokea mikononi mwake, akamshukuru Mungu, akisema, Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema; Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako, Uliouweka tayari machoni pa watu wote; Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.

Soma Lk 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 2:28-32