Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 18:22-23

Lk 18:22-23 SUV

Yesu aliposikia hayo alimwambia, Umepungukiwa na neno moja bado; viuze ulivyo navyo vyote, ukawagawanyie maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha, njoo unifuate. Lakini aliposikia hayo alihuzunika sana, maana alikuwa na mali nyingi.

Soma Lk 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 18:22-23