Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 15:5-7

Lk 15:5-7 SUV

Naye akiisha kumwona, humweka mabegani pake akifurahi. Na afikapo nyumbani kwake, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimekwisha kumpata kondoo wangu aliyepotea. Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 15:5-7