Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 12:29-31

Lk 12:29-31 SUV

Ninyi msitafute mtakavyokula wala mtakavyokunywa; wala msifanye wasiwasi, kwa maana, hayo yote ndiyo watafutayo mataifa ya duniani, lakini Baba yenu anajua ya kuwa mna haja na hayo. Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa.

Soma Lk 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 12:29-31