Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 1:37-38

Lk 1:37-38 SUV

kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. Mariamu akasema, Tazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kama ulivyosema. Kisha malaika akaondoka akaenda zake.

Soma Lk 1

Verse Image for Lk 1:37-38

Lk 1:37-38 - kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. Mariamu akasema, Tazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kama ulivyosema. Kisha malaika akaondoka akaenda zake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 1:37-38