Omb 3:25-27
Omb 3:25-27 SUV
BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo. Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA Na kumngojea kwa utulivu. Ni vema mwanadamu aichukue nira Wakati wa ujana wake.