Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yud 1:20-21

Yud 1:20-21 SUV

Bali ninyi, wapenzi, mkijijenga juu ya imani yenu iliyo takatifu sana, na kuomba katika Roho Mtakatifu, jilindeni katika upendo wa Mungu, huku mkingojea rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo, hata mpate uzima wa milele.

Soma Yud 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yud 1:20-21