Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 15:15-16

Ayu 15:15-16 SUV

Yeye hawategemei watakatifu wake; Naam, mbingu nazo si safi machoni pake. Sembuse mtu ambaye ni mwenye kuchukiza na uchafu, Mwanadamu anywaye uovu kama anywavyo maji!

Soma Ayu 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 15:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha