Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 6:63-65

Yn 6:63-65 SUV

Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima. Lakini kuna wengine miongoni mwenu wasioamini. Kwa maana Yesu alijua tangu mwanzo ni nani wasioamini, naye ni nani atakayemsaliti. Akasema, Kwa sababu hiyo nimewaambia ya kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.

Soma Yn 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 6:63-65