Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 3:28-30

Yn 3:28-30 SUV

Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake. Aliye naye bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi. Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua.

Soma Yn 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 3:28-30