Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 19:23-24

Yn 19:23-24 SUV

Nao askari walipomsulibisha Yesu, waliyatwaa mavazi yake, wakafanya mafungu manne, kwa kila askari fungu lake; na kanzu nayo. Basi kanzu ile haikushonwa, ilikuwa imefumwa yote pia tangu juu. Basi wakaambiana, Tusiipasue, lakini tuipigie kura, iwe ya nani. Ili litimie andiko lile linenalo, Waligawanya nguo zangu, Na vazi langu wakalipigia kura. Basi ndivyo walivyofanya wale askari.

Soma Yn 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 19:23-24