Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 17:25-26

Yn 17:25-26 SUV

Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua; lakini mimi nalikujua, na hao wamejua ya kuwa ndiwe uliyenituma. Nami naliwajulisha jina lako, tena nitawajulisha hilo; ili pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, nami niwe ndani yao.

Soma Yn 17