Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 12:17-18

Yn 12:17-18 SUV

Basi wakamshuhudia wale mkutano waliokuwapo pamoja naye alipomwita Lazaro kutoka kaburini, akamfufua. Na kwa sababu hiyo mkutano walikwenda kumlaki, kwa kuwa wamesikia ya kwamba ameifanya ishara hiyo.