Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 11:33-36

Yn 11:33-36 SUV

Basi Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliofuatana naye wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake, akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. Yesu akalia machozi. Basi Wayahudi wakasema, Angalieni jinsi alivyompenda.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 11:33-36