Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 11:25-26

Yn 11:25-26 SUV

Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?

Soma Yn 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 11:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha