Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 4:11-12

Yak 4:11-12 SUV

Ndugu, msisingiziane; amsingiziaye ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, huisingizia sheria na kuihukumu sheria. Lakini ukiihukumu sheria, huwi mtenda sheria, bali umekuwa hakimu. Mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu, ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine?

Soma Yak 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 4:11-12