Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 56:1-2

Isa 56:1-2 SUV

BWANA asema hivi, Shikeni hukumu, mkatende haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa. Heri afanyaye haya, na mwanadamu ayashikaye sana; azishikaye sabato asizivunje, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wo wote.

Soma Isa 56