Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 43:3-5

Isa 43:3-5 SUV

Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako. Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi

Soma Isa 43

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 43:3-5