Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 41:12-13

Isa 41:12-13 SUV

Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako. Kwa maana mimi, BWANA, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia.

Soma Isa 41