Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 3:7-10

Ebr 3:7-10 SUV

Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mtaisikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha, Siku ya kujaribiwa katika jangwa, Hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, Wakaona matendo yangu miaka arobaini. Kwa hiyo nalichukizwa na kizazi hiki, Nikasema, Sikuzote ni watu waliopotoka mioyo hawa; Hawakuzijua njia zangu

Soma Ebr 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ebr 3:7-10