Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 13:14-16

Ebr 13:14-16 SUV

Maana hapa hatuna mji udumuo, bali twautafuta ule ujao. Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamayo jina lake. Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana; maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu.

Soma Ebr 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ebr 13:14-16