Waebrania 13:14-16
Waebrania 13:14-16 NEN
Kwa kuwa hapa hatuna mji udumuo, bali tunautafuta ule ujao. Basi kwa njia ya Yesu, tuzidi kumtolea Mungu dhabihu ya sifa, yaani matunda ya midomo inayolikiri Jina lake. Na msiache kutenda mema na kushirikiana vile vitu mlivyo navyo, kwa kuwa dhabihu kama hizo ndizo zinazompendeza Mungu.