Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 11:24-27

Ebr 11:24-27 SUV

Kwa imani Musa alipokuwa mtu mzima, akakataa kuitwa mwana wa binti Farao; akaona ni afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa kitambo; akihesabu ya kuwa kushutumiwa kwake Kristo ni utajiri mkuu kuliko hazina za Misri; kwa kuwa aliyatazamia hayo malipo. Kwa imani akatoka Misri, asiogope ghadhabu ya mfalme; maana alistahimili kama amwonaye yeye asiyeonekana.

Soma Ebr 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ebr 11:24-27