Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hag 1:8-9

Hag 1:8-9 SUV

Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA. Mlitazamia vingi, kumbe vikatokea vichache; tena mlipovileta nyumbani nikavipeperusha. Ni kwa sababu gani? Asema BWANA wa majeshi. Ni kwa sababu ya nyumba yangu inayokaa hali ya kuharibika, wakati ambapo ninyi mnakimbilia kila mtu nyumbani kwake.

Soma Hag 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hag 1:8-9