Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 9:4-6

Mwa 9:4-6 SUV

Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile. Hakika damu yenu ya uhai wenu nitaitaka; na kwa mkono wa kila mnyama nitaitaka; na kwa mkono wa mwanadamu, kwa mkono wa ndugu ya mtu nitataka uhai wa mwanadamu. Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 9:4-6