Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 8:21-22

Mwa 8:21-22 SUV

BWANA akasikia harufu ya kumridhisha; BWANA akasema moyoni, Sitailaani nchi tena baada ya hayo kwa sababu ya wanadamu, maana mawazo ya moyo wa mwanadamu ni mabaya tangu ujana wake; wala sitapiga tena baada ya hayo kila kilicho hai kama nilivyofanya. Muda nchi idumupo, majira ya kupanda, na mavuno, wakati wa baridi na wakati wa hari, wakati wa kaskazi na wakati wa kusi, mchana na usiku, havitakoma.

Soma Mwa 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 8:21-22