Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 50:18-20

Mwa 50:18-20 SUV

Nduguze wakaenda tena, wakamwangukia miguu, wakasema, Tazama, sisi tu watumwa wako. Yusufu akawaambia, Msiogope, je! Mimi ni badala ya Mungu? Nanyi kweli mlinikusudia mabaya, bali Mungu aliyakusudia kuwa mema, ili itokee kuokoa taifa kubwa, kama ilivyo leo.

Soma Mwa 50

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 50:18-20