Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 4:3-5

Mwa 4:3-5 SUV

Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa BWANA. Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. BWANA akamtakabali Habili na sadaka yake; bali Kaini hakumtakabali, wala sadaka yake. Kaini akaghadhibika sana, uso wake ukakunjamana.

Soma Mwa 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 4:3-5