Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 4:13-15

Mwa 4:13-15 SUV

Kaini akamwambia BWANA, Adhabu yangu imenikulia kubwa, haichukuliki. Tazama, umenifukuza leo katika uso wa ardhi, nitasitirika mbali na uso wako, nami nitakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani; hata itakuwa kila anionaye ataniua. BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.

Soma Mwa 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 4:13-15