Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 39:11-12

Mwa 39:11-12 SUV

Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani atende kazi yake, wala hapakuwa na mtu katika watu wa nyumbani humo ndani; huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.

Soma Mwa 39

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 39:11-12