Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 2:5-7

Mwa 2:5-7 SUV

hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana BWANA Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi; ukungu ukapanda katika nchi, ukatia maji juu ya uso wote wa ardhi. BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 2:5-7