Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 16:2-3

Mwa 16:2-3 SUV

Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai. Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 16:2-3