Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 16:11

Mwa 16:11 SUV

Malaika wa BWANA akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana BWANA amesikia kilio cha mateso yako.

Soma Mwa 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 16:11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha