Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 15:9-10

Mwa 15:9-10 SUV

Akamwambia, Unipatie ndama wa miaka mitatu, na mbuzi mke wa miaka mitatu, na kondoo mume wa miaka mitatu, na hua, na mwana njiwa. Akampatia hao wote, akawapasua vipande viwili, akaweka kila kipande kuelekea mwenzake, ila ndege hakuwapasua.

Soma Mwa 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 15:9-10