Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Gal 2:19-20

Gal 2:19-20 SUV

Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu. Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai; wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu; na uhai nilio nao sasa katika mwili, ninao katika imani ya Mwana wa Mungu, ambaye alinipenda, akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu.

Soma Gal 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Gal 2:19-20