Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Gal 2:15-16

Gal 2:15-16 SUV

Sisi tulio Wayahudi kwa asili, wala si wakosaji wa Mataifa, hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki.

Soma Gal 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Gal 2:15-16