Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 37:4-5

Eze 37:4-5 SUV

Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi.

Soma Eze 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 37:4-5