Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 37:4-5

Ezekieli 37:4-5 NEN

Ndipo akaniambia, “Itabirie mifupa hii na uiambie, ‘Enyi mifupa mikavu, sikieni neno la BWANA! Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo kwa hii mifupa: Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 37:4-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha