Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 36:25-27

Eze 36:25-27 SUV

Nami nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi; nitawatakaseni na uchafu wenu wote, na vinyago vyenu vyote. Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani ya mwili wenu, nami nitawapa moyo wa nyama. Nami nitatia roho yangu ndani yenu, na kuwaendesha katika sheria zangu, nanyi mtazishika hukumu zangu, na kuzitenda.

Soma Eze 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 36:25-27