Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 34:11-12

Eze 34:11-12 SUV

Maana, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi mwenyewe, naam, mimi, nitawatafuta kondoo zangu, na kuwaulizia. Kama vile mchungaji atafutavyo kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo zake waliotawanyika; ndivyo nitakavyowatafuta kondoo zangu; nami nitawaokoa katika mahali pote walipotawanyika, katika siku ya mawingu na giza.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 34:11-12