Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 9:18-19

Kut 9:18-19 SUV

Tazama, kesho wakati kama huu, nitanyesha mvua ya mawe nzito sana, ambayo mfano wake haujakuwa huko Misri tangu siku ile ilipoanza kuwa hata hivi sasa. Basi sasa tuma wahimize waingie ndani wanyama wako na hayo yote uliyo nayo mashambani; kwani kila mtu na kila mnyama apatikanaye mashambani, wasioletwa nyumbani, hiyo mvua ya mawe itanyesha juu yao, nao watakufa.

Soma Kut 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 9:18-19