Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 7:9-10

Kut 7:9-10 SUV

Farao atakaponena nanyi, na kuwaambia, Jifanyieni miujiza; ndipo utakapomwambia Haruni, Shika fimbo yako, uibwage chini mbele ya Farao, ili iwe nyoka. Basi Musa na Haruni wakaingia kwa Farao, wakafanya vivyo kama BWANA alivyowaambia; Haruni akaibwaga fimbo yake chini mbele ya Farao, mbele ya watumishi wake, ikawa nyoka.

Soma Kut 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 7:9-10