Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 7:8-9

Kut 7:8-9 SUV

BWANA akanena na Musa na Haruni, akawaambia, Farao atakaponena nanyi, na kuwaambia, Jifanyieni miujiza; ndipo utakapomwambia Haruni, Shika fimbo yako, uibwage chini mbele ya Farao, ili iwe nyoka.

Soma Kut 7

Video for Kut 7:8-9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 7:8-9