Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 7:8-9

Kutoka 7:8-9 NEN

BWANA akamwambia Mose na Aroni, “Farao atakapowaambia, ‘Fanyeni muujiza,’ basi mwambie Aroni, ‘Chukua fimbo yako na uitupe chini mbele ya Farao,’ nayo fimbo itakuwa nyoka.”

Video for Kutoka 7:8-9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 7:8-9