Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 31:2-5

Kut 31:2-5 SUV

Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda; nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina, ili abuni kazi za ustadi, kuwa fundi wa dhahabu, na wa fedha, na wa shaba, na kukata vito kwa kutiwa mahali, na kuchora miti, na kufanya kazi ya ustadi iwayo yote.

Soma Kut 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 31:2-5